Series (Special thread)

Mie naitafuta Movie Moja ya Michael Didikoff,Kuna nesi ambae kama yuko Kambi ya Jeshi ambae ni Dem wa mkubwa wa Jeshi anamjeruhi Dem halafu Michael anamuuliza nani kakufanyia hivi, Michael anajipenyeza ndani anamteka mkubwa wa Jeshi anakaa nyuma ya gari anamuwekeaa bastola ili wapite mlangoni jamaa anapungia mkono walinzi wafungue mlango jamaa kuona ni mkubwa wao wanamruhusu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…