Dream Queen
JF-Expert Member
- Nov 4, 2015
- 8,262
- 18,251
Sio mambo yangu hayo kabisaaaaa,Niko naangalia chuma hiki Cha Denzel Washington ni
Franky Samuel, Charles kilian, Dream Queen, Mr Q,
View attachment 2768840View attachment 2768841
Jawan itakua kali maana naona SRK ameludi kwa nguvu sana movie zake zote mbili zimepiga mauzo makubwa sana box office maana jawan mpk sasahivi imeshaingiza 124M dollarsIme achiwa Jana, bado jawan ya sharukhan
Yeah ni 🔥🔥🔥, siwezi ikosaa 🤒.Sio mambo yangu hayo kabisaaaaa,
Btw, umeona chuma cha Liam Neeson kinaitwa Retribution?
Na bado Kama sio mwezi wa 12 au Mwakani 1, ana kuja na chuma kipya.Jawan itakua kali maana naona SRK ameludi kwa nguvu sana movie zake zote mbili zimepiga mauzo makubwa sana box office maana jawan mpk sasahivi imeshaingiza 124M dollars
Nime iweka Kwenye list, vipi black nights Ume Iona.??Kuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Badooo,
Yeahhh, na Kuna hii piaa, sema Wana achia kill j5 vipande V2. Ina isha tarehe 25/10Badooo,
Inaonekana kaliiiii ngoja niipakue
Hiki chuma kikali sana 🔥Niko naangalia chuma hiki Cha Denzel Washington ni 🔥🔥
Franky Samuel, Charles kilian, Dream Queen, Mr Q,
View attachment 2768840View attachment 2768841
Watu wanatiana mabisu na marisasi mfululu humuKuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Labda mta mshawishi Dream Queen aka kiangalie🤣🤒Hiki chuma kikali sana 🔥
Wakorea skuiz wanaupiga mwingiYeahhh, na Kuna hii piaa, sema Wana achia kill j5 vipande V2. Ina isha tarehe 25/10
View attachment 2768891
Kalii sanaNime iweka Kwenye list, vipi black nights Ume Iona.??
👉View attachment 2768880
Ila Wakorea wana mikwaraaaaaYeahhh, na Kuna hii piaa, sema Wana achia kill j5 vipande V2. Ina isha tarehe 25/10
View attachment 2768891
Huu mzigo mkali kwanza action ipo yakutosha kwenye ukichaa hapo hawa watu wa asia hawawezi kuacha hata movie iwe serious vipi lazima kuwe na uchizi ndani yakeKuna mtu aliirecommend nikaona sio mbaya ngoja nipitishe macho na mie, ni nzuri ila Wakorea wapunguze masikhara bhana, kwani hawawezi kufanya serious movie mwanzo mwisho hadi uchale uchale, aaargh, nipo ep 2View attachment 2768872
Eeh nimeona wanachinjana haswaaaa, nimeipenda kiukweli ila comedy sizitakiWatu wanatiana mabisu na marisasi mfululu humu
Single or series na I'm Isha??View attachment 2768893
Itafuteni kwa wanao penda ujasusi ukachero
Kabisa kama the last of us kuna ukichaa mwingi sana mule🤣🤣🤣😂Huu mzigo mkali kwanza action ipo yakutosha kwenye ukichaa hapo hawa watu wa asia hawawezi kuacha hata movie iwe serious vipi lazima kuwe na uchizi ndani yake
Ila wewe🤣😂🤒, Jang hyuk una mjua??Ila Wakorea wana mikwaraaaaa