Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 44,071
- 95,687
Yeah, sema wanazo Kali pia.Wajapan, yes japo sijaiangalia.... animations za Wajapan siziwezi
Bado tu hawajatoa S3? Nimechoka kusubiriTupo vip! Bwana mdogo willy anasemaje!
Kaka Chaz kila kona upo 🤣Imeishia patamu sana dogo kawekewa usd efu 30 na kashakuwa mharamia sijui itakuwaje season 2
Kabisa maana ni kalii sanaYeah, producer kasema soon Wana Rudi mzigoni.
👉Wasije tufanyia Mambo ya vagabond 🤒
Sikuchelewa kuiwochi nimeshaimaliza nasubiri mwendelezoOne piece kitu nzuri Sana, action + adventure 🤒.
👉 Mvaa Kobazi, Charles kilian, Franky Samuel, Dream Queen, Mr Q, Introsagvert
View attachment 2767028
Sema kweli niamke ndani niende Library 🤗
One piece kitu nzuri Sana, action + adventure
Dada mimi napenda sana series na movie🤣😂Kaka Chaz kila kona upo 🤣
Kama hujaiwochi unangoja nini sasa nyakati hizi hakuna series kali basi hiyo itakufaaSema kweli niamke ndani niende Library 🤗
Yeah ni Kali Sana, ila We morgana, kaitafute hii ni 🔥🔥🤣😂.Sema kweli niamke ndani niende Library 🤗
Mimi uwa napita kimya kimyaKama hujaiwochi unangoja nini sasa nyakati hizi hakuna series kali basi hiyo itakufaa
Jack reacher ume Iona??Kama hujaiwochi unangoja nini sasa nyakati hizi hakuna series kali basi hiyo itakufaa
Merlin niliirudia yote ikaisha🤣Yeah ni Kali Sana, ila We morgana, kaitafute hii ni 🔥🔥🤣😂.
Ina itwa one piece
View attachment 2767073
Nili taka kuicheki s1, sema Mambo yakawa mengiThe wheel of time season 2 imefikia patamu sana
Dah ma black huwezi watenganisha na mikazo🤣😂😂.Merlin niliirudia yote ikaisha🤣
Na nikastop kuangalia nisije komaza macho.
Mimi mapenzi ya kikorea ndio yamenishinda kuangalia. Ila uchawi, ngumi, mapenzi ya black americans, ya wazungu only if hamna mikazo mingi,nazipendela.
Ngoja nichukue jina hilo
Usiangalizie kwa Pc tu.Dada mimi napenda sana series na movie🤣😂
Icheki kaka ni full mapanga na uchawiNili taka kuicheki s1, sema Mambo yakawa mengi
Hii shaka sio powa aisee wanalambana mno🤣🤣😂Dah ma black huwezi watenganisha na mikazo🤣😂😂.
👉Kuna mdada best angu, nili mkuta ana angalia I'll shaka - haa😂🤣.
👉Mle winchinchi ya wazi wazi🤣😂