Series, hadithi za mambo mbalimbali ya zama za uumbaji

Crocodiletooth

JF-Expert Member
Oct 28, 2012
18,658
20,992
IMG_20240329_092112_578.jpg


GALACTIC HISTORY

Swerdlow anaandika kwamba kuna AINA SABA tofauti katika himaya ya DRACO. Aina moja ina ngozi nyeupe iliyogawanyika, macho kama ya paka, mbwa na Taya na meno yaliyotawanyika.

The DRACO walitawala DUNIA maeneo ya Pacific HIVI leo ambapo kulikua na bara lililo potea au lililo zama chini ya maji kutokana na POLE SHIFT (Kucheza kwa ncha za DUNIA) kulikosabambishwa na Silaha za maangamizi za LEZA au Electromagnetic Lesser Pulsion zilizokuwa zikipigwa au zikitumwa kwenye dunia ya ndani INNER EARTH au HOLLOW EARTH kuwaangamiza Reptilians. Wakati ambapo Draco walipokuwa wakipigana na WA ATLANTIA WALIO ishi kwenye bara lililo potea la ATLANTIS.

HAPO awali DRACO (WALUMERIA) na WAATLANTIAN (ATLANTIS) waliingiliana na Kupelekea kutoka KWA jamii mpya mseeto (Hybrid race) ambayo ilikuwa ni mchanganyiko wa ATLANTEAN na REPTILIANS.

SWERDLOW anasema ; Jamii hiyo mseto baina ya ATLANTEAN na REPTILIANS ndiyo ILLUMINATI wa hivi leo WANAO jiita 13-ILLUMINATI BLOODLINE.

Swerdlow anasema ; ILLUMINATI wamepanga uvamizi fake/BANDIA WA Alien ILI kuwalaghai WATU wapate kuundakukubali serikali ya ULIMWENGU MMOJA au SERIKALI MOJA maarufu kama NEW WORLD ORDER

Ambayo itatumia Teknolojia ya HOLOGRAPHIC kutayarisha mapigano ya kifikirika mapigano BANDIA ili WATU wadhani kumechafuka na ukombozi ni kukubali New world Order

~Swerdlow alionya;- hatimaye watatafuta kutuma mamilioni ya watu nje ya SAYARI ya DUNIA kwenda kutawala miezi inayoweza kukaliwa ya Sayari ya JUPITER na Sayari ya SATURN (ZOHALI).
 
Back
Top Bottom