Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Mi natamani kila kinywaji kinachoitwa bia kusiitwe pombe,.

Jina linalofaa hapo liwe JUISI KALI

Maanake hiyo serengeti lite ukinywa kwa viazi au vipande vya mihogo aseee utajisikia raha, na baadae ukashushia supy ya mchicha haloo.

Ukikaa baada ya dk , kumi ukapiga k vant yenye mchanganyo na konyagi, wakati wa kulala
 
Balimi na aina hizo ni kwa wasio na hela. Wengi wapo kikosi cha mizinga
Hichi kikosi nabidi uwe umekula na kunywa juisi za kutosha

Unakunywa supu ya kuku wa kienyeji, inapiga na kongoro, viazi vitamu na hivi vi jibia kama vitatu halafu unaenda kiumeni, kwenye kikosi cha mizinga
 
Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you

Cc.balimi,plisner,safari,
Mwanaume unapaswa kunywa nyagi, bia zote za kina dada.
 
Hapo ndio napoona maajabu ya hii bia na ndio chanzo cha kupendwa sana....asubuh wala huhangaiki na misupu.....
Nimekuta wamarangu wapenda sifa wakiziagiza kwa fujo hapa marangu mtoni,naona wameshuka mlima na walami sasa wana vi laki laki mifukoni ndiyo vinawasumbua!! Nimepiga gordons yangu nikawaacha hapo! Najua kesho wataniomba hela ya chai kama kawa!!
 
Nimetoka huko juzi tu hapa nilikua naanza kuzinywa kuanzia asubuhi mpaka usiku....nilizigeuza maji ya kunywa

Nyie ndiyo mlikuwa mnanisumbua kuomba hela ya chai kila asubuhi! Nimeku kumbuka! Na baridi ya marangu hivyo vibia unaweza kunywa vyote,ikifika asubuhi huna hata mia!na mnavopenda masifa nyie wamarangu
 
Ngoja nimalize haka ka ndoo kwanza ndio nije tujadili hapa
 
Mi ntakunywa hata kreti na silewi hata, hizo ni kwa wanawake ila nashangaa hadi wanaume wanakunywa shame on you
Cc.balimi,plisner,safari,
Hakuna mnywaji ambaye husema kwamba huwa analewa.Hakuna.Ila wanaomuona humtambua kwa matendo yake.Bitter truth!
 
TBL huu ushauri wa bure fanyeni hivi, toeni Balimi lite, ipeni muonekano mpya package yake I we nzuri, kisha chukueni ile test ya castle lite muichakachue kidogo kisha mmtupie kwenye Balimi lite, alafu mkitaka mteke soko hiyo Balimi lite muanze ifanyia marketing a dar tu, uko mikoani waisikie nakuiona kwenye TV na kuisikia kwenye radio baada ya miezi mitatu ya promo dar ipelekeni mikoani sasa nawambia Serengeti lite itapotea gafla mtaendelea kusumbua tena sokoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom