Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,023
Kwamba alcoholic yake ni 80% hyo ata kooni haiwezi kupita utakuwa unameza moto mkuu.K Vant mchumba tuu mkuu,kuna huyu mzawa wa kwanza kiumeni hapa.View attachment 1079454View attachment 1079455
Kwamba alcoholic yake ni 80% hyo ata kooni haiwezi kupita utakuwa unameza moto mkuu.K Vant mchumba tuu mkuu,kuna huyu mzawa wa kwanza kiumeni hapa.View attachment 1079454View attachment 1079455
Unashauriwa uichome kwanza na moto,then unywe na barafu mkuu.Kwamba alcoholic yake ni 80% hyo ata kooni haiwezi kupita utakuwa unameza moto mkuu.
Haka kamzigo bei ganiK Vant mchumba tuu mkuu,kuna huyu mzawa wa kwanza kiumeni hapa.View attachment 1079454View attachment 1079455
Hyo ata kizibo kimoja uwezi maliza.Unashauriwa uichome kwanza na moto,then unywe na barafu mkuu.
Mi ninayo hapa mkuu,mwezi wa pili,nafkiria niianzeje?Hyo ata kizibo kimoja uwezi maliza.
Kuna demu alikunywa 13 pale mbagala rangi 3 huku mi nakomaa na konyagi ndogo... Nikaamua kutemana nae hapohapo.Hii beer inatufilisi pamoja na castle lite yaani mchepuko inakata kreti unaiangalia tu.
Utakuwa ulipewa zawadi maana sio kwa style hyo yakunywa kwa macho.Mi ninayo hapa mkuu,mwezi wa pili,nafkiria niianzeje?
Nimenunua mwenyewe mkuu,nasubiri siku ajitokeze mroho wa pombe nimzimishe.Utakuwa ulipewa zawadi maana sio kwa style hyo yakunywa kwa macho.
Hapo ndio napoona maajabu ya hii bia na ndio chanzo cha kupendwa sana....asubuh wala huhangaiki na misupu.....Unakula 20 na asbh unakunywa chai na mkate
Kivipi mkuu wakati huku lake zone tunauziwa Sere lite 1500 na balimi extra lager 1500,halafu balimi za huku sio kama hayo ya Dar ya huku yapo standard sana hasa upate ile bariiiiidiBalimi na aina hizo ni kwa wasio na hela. Wengi wapo kikosi cha mizinga![]()
Kumbe hata wewe unakatumia 'kupozea' Engine. Mimi huwa naanza na Kvant kubwa ikiisha napiga Serengeti light 3 kisha narud tena KiumeniHuwa nagonga safari nikiona kichwa kimechoka nagonga hiyo safari yote inaisha naanza upya sijajua siku nikiamua kunywa kama ntapata starter
Mkuu bei gani hii? Hii unaeza pasua koo,maini, bandama ,figo na mapafu 80% ABV si mchezo aseeeNimenunua mwenyewe mkuu,nasubiri siku ajitokeze mroho wa pombe nimzimishe.
Mkuu nimeinunua kama elfu 75 ya kibongo.Mkuu bei gani hii? Hii unaeza pasua koo,maini, bandama ,figo na mapafu 80% ABV si mchezo aseee
AnaKUNYA nini sasa?Mtu mwenye hela hanyi kali