Nikinywa hako kadude ni sawa na nimekunywa juice
Bas wewe ni mleviNi kama umekunywa maji mbona?!!
Alcohl yake sio 1.4 kwel?Nimekunywa bia ngumu karibia zote, mara nyingi huwa zinanipunguzia uwezo wa kufanya kazi siku ya pili.
Ila hako ka kirikuu naamka niko timamu asilimia mia.
Bas wewe ni mlevi
Kumbe na ww ni mwanachama njoo hapa Facebook nkununulie hata tatuNimekunywa bia ngumu karibia zote, mara nyingi huwa zinanipunguzia uwezo wa kufanya kazi siku ya pili.
Ila hako ka kirikuu naamka niko timamu asilimia mia.
Kanauzwa bei ganiHii ni Kwa walevi tu.
Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.
Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.
Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.
Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
Ni bia moja ambayo haina viwango kabisaaa Sema watu wanafuata mkumbo na bei PoaHii ni Kwa walevi tu.
Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.
Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.
Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.
Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
CHANGANYA NA MKOJO KIZIBO CHA BIA MPE BINTI NIPE.MREJESHOKaz kweli kwlView attachment 1077914
K Vant mchumba tuu mkuu,kuna huyu mzawa wa kwanza kiumeni hapa.Mm ninayepiga bapa kubwa mbili za K vant nikinywa hyo silazima nimalize semi nzima?