Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Eti waiuzie dar tu! Ungejua hata hii balimi extra lager huko dar na kwingineko mmeazimwa tu, hilo jina tu BALIMI ni kisukuma kwa maana ya WAKULIMA. kwa taarifa yako hiyo ni KANDA YETU, BIA YETU. na hapo awali ilikuwa inazalishwa na TBL kiwanda cha Mwanza tu ila baada ya kutisha sana watu wakawa wanaivusha nje ya kanda basi TBL wakaona isiwe tabu ikaanza kuzalishwa na kwengineko. Na ufahamu balimi ya Mwanza ni kiwango na radha ukweli tofauti na balimi ya dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui unongea takataka gani sisi tunaongela suala la market unakuja na porojo za mwanza sijui mwanza
 
Hii ni Kwa walevi tu.

Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.

Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.

Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.

Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
Unajuwa, kwenye product kuna kitu inaitwa FOUR P
1. Product
2. Price
3. Packaging
4. Place

Jamaa wamecheza na Product pamoja na Price
 
Kama ilivyo K-Vant na Konyagi..Hapa nilipo naona meza nyingi zina K-Vant, Konyagi imepotezewa sijui kwa nini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom