Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Vijana;Wazee mnajiendekeza bure na mpo addicted wa kunywa pasipo na tija yyte!! Suali moja tu.. Jee mulisha wahi kutunukiwa Tuzo au hata medali na hao wauzaji ULEVI ?? (Hata huduma za afya hampewi)
 
Hajui safari inavyotoka huyo..kwakua anaona hapa dar wanakunywa hako kadude anafikiri ni tz nzima

Kirukuu ya safari inanyweka kama virobaa

Afu sasa tbl wanakwambia serengeti lite haiwatishi kwenye soko maana bia yao moja ina cover lite zote

Tena iyo kirikuu kuna watu wanabugia muda wote nilifika hapo mwanza inasakwa hatari...
 
Afu sasa tbl wanakwambia serengeti lite haiwatishi kwenye soko maana bia yao moja ina cover lite zote

Tena iyo kirikuu kuna watu wanabugia muda wote nilifika hapo mwanza inasakwa hatari...
Moshi mwaka juzi virukuu viliisha vyote kwa siku 3
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom