Kanda ya ziwa habari nyingine kule mzee baba machozi ya simba ndio kinywaji halisi bia tunasingiziwa tu ndio maana tukaletewa balimi at least inapanda kidogoSidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu
mkuu tatizo jina hilo la BALIMI nalo sio kabisa halivutiii limekaa kikulimakulimaTBL huu ushauri wa bure fanyeni hivi, toeni Balimi lite, ipeni muonekano mpya package yake I we nzuri, kisha chukueni ile test ya castle lite muichakachue kidogo kisha mmtupie kwenye Balimi lite, alafu mkitaka mteke soko hiyo Balimi lite muanze ifanyia marketing a dar tu, uko mikoani waisikie nakuiona kwenye TV na kuisikia kwenye radio baada ya miezi mitatu ya promo dar ipelekeni mikoani sasa nawambia Serengeti lite itapotea gafla mtaendelea kusumbua tena sokoni.
Haaa haaaa basi waingize brand mpya sokoni au wailete Kilimanjaro litemkuu tatizo jina hilo la BALIMI nalo sio kabisa halivutiii limekaa kikulimakulima
Kitimoto Mobile. Ulipo tupoSerengeti lite ya baridi na kitimoto ni tamu haswaa ila nkishapiga Serengeti mbili au tatu naita Pombe sasa either gordon au Kvnat.
Acha pombe. UtanikumbukaSerengeti lite ya baridi na kitimoto ni tamu haswaa ila nkishapiga Serengeti mbili au tatu naita Pombe sasa either gordon au Kvnat.
BINGWA HUKU MBEYA NDIO ZENYEWEHivi hizi bia bado zipo kweli
Bingwa na Ze Kick![]()