Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Serengeti Lite inavyoitesa TBL

Toa ufafanuz mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Ili kuepuka magonjwa dada siku zijazo. Epuka pombe na sigara. Kwa sababu ya ushindani uliopo kati ya makampuni ya pombe ya sasa. Pombe siku hizi inaongezwa vitu vinavyoifanya ivutie lakini ni sumu in the long run. A case in point ni sengerema light. Kama unajua. Unajua.
Magonjwa dada ni kisukari, presha, arthritis na ndugu yao upungufu wa nguvu za kiume.
Miaka ya 2000 kurudi chini upungufu wa nguvu za kiume ulikua huusikii.
Lakini ushindani wa makampuni ya beer ulipoanza. The result is there for all to see.
 
Ili kuepuka magonjwa dada siku zijazo. Epuka pombe na sigara. Kwa sababu ya ushindani uliopo kati ya makampuni ya pombe ya sasa. Pombe siku hizi insongezwa vitu vinavyoifanya ivutie lakini ni sumu in the long run. A case in point ni sengerema light. Kama unajua. Unajua.

Mkuu haka ka beer ni kazuri. Kame ongezwa nini ambacho ni sumu?
 
Sidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu
Kanda ya Ziwa ndani kabisaaa... Serengeti Lite ipo. Tena USUKUMANI

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu haka ka beer ni kazuri. Kame ongezwa nini ambacho ni sumu?
Kuna mtu wa quality control pale sengerema brews alihoji hiyo chemical inayokufanya uipende sengerema light kwamba ni sumu. Aliponea chupu chupu kidogo wamuwekee sumu. Ila alisepa fasta na kwenda kusikojulikana
 
Vijana;Wazee mnajiendekeza bure na mpo addicted wa kunywa pasipo na tija yyte!! Suali moja tu.. Jee mulisha wahi kutunukiwa Tuzo au hata medali na hao wauzaji ULEVI ?? (Hata huduma za afya hampewi)
Je ,wewe kwa starehe ulionayo uliwah pewa tuzo,naamin unaweza kuwa mzinifu kupindukia,xhabiki was mpira n.k .xo nakuuliza uliwahi pewa tuzo?
 
Kuna mtu wa quality control pale sengerema brews alihoji hiyo chemical inayokufanya uipende sengerema light kwamba ni sumu. Aliponea chupu chupu kidogo wamuwekee sumu. Ila alisepa fasta na kwenda kusikojulikana
Inaitwaje hiyo kemikali? Acha propaganda zisizo na msingi.

Wacha wanywaji tunywe. Afya zetu zinakuhusu nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni Kwa walevi tu.

Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.

Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.

Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.

Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
Hao jamaa hawatengenezi juice za embe ?
 
Kuna mtu wa quality control pale sengerema brews alihoji hiyo chemical inayokufanya uipende sengerema light kwamba ni sumu. Aliponea chupu chupu kidogo wamuwekee sumu. Ila alisepa fasta na kwenda kusikojulikana

Ohooo.... basi ngoja nipige larger ...
 
TBL huu ushauri wa bure fanyeni hivi, toeni Balimi lite, ipeni muonekano mpya package yake I we nzuri, kisha chukueni ile test ya castle lite muichakachue kidogo kisha mmtupie kwenye Balimi lite, alafu mkitaka mteke soko hiyo Balimi lite muanze ifanyia marketing a dar tu, uko mikoani waisikie nakuiona kwenye TV na kuisikia kwenye radio baada ya miezi mitatu ya promo dar ipelekeni mikoani sasa nawambia Serengeti lite itapotea gafla mtaendelea kusumbua tena sokoni.
Eti waiuzie dar tu! Ungejua hata hii balimi extra lager huko dar na kwingineko mmeazimwa tu, hilo jina tu BALIMI ni kisukuma kwa maana ya WAKULIMA. kwa taarifa yako hiyo ni KANDA YETU, BIA YETU. na hapo awali ilikuwa inazalishwa na TBL kiwanda cha Mwanza tu ila baada ya kutisha sana watu wakawa wanaivusha nje ya kanda basi TBL wakaona isiwe tabu ikaanza kuzalishwa na kwengineko. Na ufahamu balimi ya Mwanza ni kiwango na radha ukweli tofauti na balimi ya dar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom