Serengeti Lite inavyoitesa TBL

East African

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
573
Points
1,000

East African

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2013
573 1,000
Hii ni Kwa walevi tu.

Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.

Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa.

Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.

Hongera mpishi na mgunduzi wa hako kabia.
 
Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Messages
7,075
Points
2,000

Chapa Nalo Jr

JF-Expert Member
Joined Dec 8, 2010
7,075 2,000
Hii ni Kwa walevi tu.
Nakumbuka TBL ziliva sana miaka ya nyuma.
Ila tangu Serengeti Breweries walete hiki l bia cha Serengeti Light aisee jamaa wanauza balaa. Yaani ukienda bar utakuta zaidi ya nusu ni hako kabia. Halafu hakana harufu mbaya.
Hongera mpishi na mgunguzi wa hako kabia.
Yaani mpishi wa haka kabia apewe tuzo tu, kama ni limbwata basi sio la bara hili.

Ila mimi sinywi hako "kasoda"
 
Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2017
Messages
2,973
Points
2,000

Tajiri Kichwa

JF-Expert Member
Joined Apr 2, 2017
2,973 2,000
Sidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu
 
G.Jacob

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2013
Messages
3,475
Points
2,000

G.Jacob

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2013
3,475 2,000
Nilikuwa sielewi kwa nn wengi wanaipenda hii bia hadi siku moja nilipobwia 18 halafu nikatembea hadi nyumbani bila wenge lolote na kesho yake asubuhi nikawahi kuamka sihisi uchovu wala kichwa kuuma ila njaaa sasa eeeeeh mbona nilitafuta jiko lilipo kabla wife hajaamka nishapika na nimekula.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2015
Messages
12,812
Points
2,000

Hazard CFC

JF-Expert Member
Joined Apr 7, 2015
12,812 2,000
Sidhani sana ...maana kila mtu na upenzi wa bia yake ,inaweza kuta sehemu unazo enda watu waliokuja kunywa bia wana budget ya 20,000 so lazima wakimbilie humo. Nilienda kanda ya ziwa huko ndani ndani,kuna watu hawajui kama kuna bia inaitwa serengeti lite wao ni balimi na safari
..ila kwa Dar es Salaam kajitahidi kuibrand bia yake vizuri ,though tbl wao bia yao wanaona iko kwenye market vizuri tuu
Hajui safari inavyotoka huyo..kwakua anaona hapa dar wanakunywa hako kadude anafikiri ni tz nzima

Kirukuu ya safari inanyweka kama virobaa
 
Forum statistics

Threads 1,388,909
Members 527,828
Posts 34,014,262
Top