Ukitaka kuuliza huyo Diamond kawafanya nini watakuambia ni dharau? Je hizo dharau alimfanyia nani na lini? Au kupata mafanikio kidogo ndio dharau? Pengine ndio maana wasanii wetu hawafanikiwi kwa sababu ya viwivu vya kijinga kama hivi.
Hapa akija mwingine lazma tumfanyie hayahaya mambo mpaka ashuke itakuwa furaha yetu
kosa la diamond ni kuwa na dharau kwa wasanii wenzake,kubwa zaidi ni kusema kama ally kiba anahitaji msaada wake yupo tayari kumsaidia,wakati for the time nyimbo za kiba zipo juu zaidi ya za diamond,na kiba hana makuu,kakaa kimya,anaacha kazi ziongee,nlikua shabiki wa diamond ila sasa nipo kwa kiba.dogo anaweza,hana makuu wala skendo.ni kazi tuu.diamond anamsema vibaya sana huyu bwana mdogo mwenye kipaji cha hali ya juu.huo ndo mshahara wake,asipojirekebisha atazomewa saaaanaaa
jamani mwacheni Daimond afanye yake na kiba afanye yake.mbona mnataka mmoja wapo ashuke.mie am happy kuona Daimond na kiba wote wapo juu.ntasikitika mmoja wapo akishuka.
Na akishuka utasikia, amefulia. Mara ooohh wasanii wetu wazito. Akifa utasikia, kulikuwa hamna jembe kama lile! Ukitaka kufanya yako fanya. Ukisubiri wabongo wakuruhusu, hautafika popote.
Mafanikio yake lazima yamsogeze mbali na wale wa kipato cha chini kwa sababu hana tena kipato cha chini. Huwezi ukafanikiwa halafu just because kuna watu wapo chini ukayakataa mafanikio yako. Besides kuwa msanii ni package kubwa. Inabidi uwe kweli msanii. Sio kipaji, but everything bout you has to become your business. Sababu ya wengi hapo mwanzo kutokufanikiwa ni woga wa kubadilika. Wewe ni international musician, so itabidi uwe tu international. Hamna haja ya kuwataja ambao walifikiri kuwa chini ndo utapendwa na watu. Ona sasa wanaitwa wamefulia na wengi wamesahaulika. Watu hawataridhika kamwe. Kama umeamua kuwa mwanamziki kwa ajili ya kitaa chako sawa. Kama you are doing it to get yourself internationally, you gotta do what it takes.
Hizo sababu zenu za kutunga hizo haha..Dimond alidharau lini au mkate mdogo anaoupata unawaumiza sana
Kaaaazi kwelikweli.
Yaani kiba amsaidie Dimond hahah....wakati hata hili shangwe analolipata ni kwaajili ana bifu na Diamond huyo alikiba wenu angekuwa na Bifu na Barnaba au Bob juniour angesahau hata kupata shoo[/QUOT
Kiba yupu vizuri kuliko Diamond kimziki. ila kinacho muweka juu Diamond ni kutumia ipasavyo fulsa anazo zipata. lakini kama wewe ni msikilizaji wa mziki mzuri utagundua CHIBU ukimuweka hata na BEN POL basi Ben pol utajua anafanya mziki mzuri.
uzuri wa kiba ninacho mpendea ni SAUTI yake. mimi huwa namini Kiba kwa sauti yake ni marighafi tosha kwake...
CHIBU huyu jamaa yeye anajua jinsi ya kumiliki jikwaa. yani ukiangalia unasikia raha..
KIUHALISIA kimziki Kiba yupo vizuri. Mimi napenda kitu anacho fanya Diamond kwa sasa
mhhhh huyu Lord Eyes ni shida aisee ok Weusi naona sasa wanafanya yao hawa ndio wanajua nini maana ya hip hop aisee hapa kumechafuka zile timu zen wekeni pembeni ngoma inayopigwa hapa ni Wawio aliyesuka hii bit naomba kumjua,huyu G nako anasauti flan hivi
Ma mushka yupi huyo????
hahahahaa, nafikiri ndo WEMA.
Namuona Wema yule anamkimbia Diamond.
Mmmhhh katia huruma haswaa!!!
watu wangu wa kinondoniii mpoo ?watu kimyaaaaa!!! kiba kiba teh dogo kaaibika mbaya!!
Eeh wivu wa diamond awr na kiba iweje
Eeh kiba kamwe hatamfukia akivyo paa diamobd na,kupeperusha bendera yetu. He had is time kujarivu hayo na imeshasepa.
Kuimba sio kyimba tu na akiki ya business lazima iwrpi
Ok sema maneni gani alisema diamond? Interview? Weka link tusikulize
Umeanzisha FIESTA SPECIAL THREAD umeona haitoshi umekuja kuanzisha Sub thread.....
Hizi updates si tunapeana kule...