Nikiwa kama msemaji rasmi wa timu ndomo nakili mbele yenu rasmi kua tumefunikwa rasmi na timu kiba asanteni
clouds wamembania muda dangote. kuna kitu hapo si bure
Kawakodi. Diamond amewakomoa kapiga nyimbo moja kasepa zake teh teh wahuni wote wameduwaa
Nikiwa kama msemaji rasmi wa timu ndomo nakili mbele yenu rasmi kua tumefunikwa rasmi na timu kiba asanteni
Chezea pesa wewe.Davido anapanda Mabarua yenu ya Mahakamani pelekeni kwa mahakimu wenu wasiosoma.
ile hati ya mahakamani imeishia wapi?Tanganyika kila kitu kinawezekanaDavido huyooooooooooooooo
Kuna kitu...alisema kuna uhuni.humu ndani na ndio.hup.pia...clouds wanamfinya sababu amewatosa mikoani
Diamond best Artist japo Clouds wanataka kumshusha ila wapenda haki tutambeba,kasema neno moja tu kwamba 'Humu ndani leo kuna uhuni mwingi' nadhani anajua kilichofanyika.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Mpaka sasa Kiba 80% diamond 20%
diamond best artist japo clouds wanataka kumshusha ila wapenda haki tutambeba,kasema neno moja tu kwamba 'humu ndani leo kuna uhuni mwingi' nadhani anajua kilichofanyika.
Sent from my blackberry 9800 using jamiiforums
Nikiwa kama msemaji rasmi wa timu ndomo nakili mbele yenu rasmi kua tumefunikwa rasmi na timu kiba asanteni