Diamond mzima sana.
Diamond kiboko,washabiki wanaimba wimbo wa mdogo mdogo
Diamond hana connection na audience
Diamond hana connection na audience
Weusi hujawaona? Ulikuwa umelala nadhani.Huyu ndio mwanamuzi sasa, Wengine feki tu
Umeonaaa eeeeeee wala hajafanyiwa promo chezeaaaaaaaaaa
Hakuna haja ya connection na wajingawajinga,, Diamond yuko juu
Acha kujikaza wewe,kagaragazwa leo vibaya
Mpaka sasa Kiba 80% diamond 20%
Daaaa long tym not see yu where have yu bin? Nilijuwa muda huu utakuwa kishumundu unakunywa mbege za ndiz kisukar