Serengeti fiesta 2014 special thread

Kama unataka mtoto mwenye akili zaa na niki wa pili lol

Weusi nawapenda sana
 
Wamenifurahisha walivyozomea pale walivyoulizwa habari za Miss France heheheh Bibi Mtemvu unalo limekugandaje Dada ??
 
Toka hii fiesta ianze sijaona mtu alieperfom kitu ,, Tunamsubiri mfalme wetu diamond tulale
 
Daaaas namshukuru mungu nimeimaliza hii thread maana ilikuwa ina nitesa kuisoma kuanzia ya kwanza...
 
Wale wanao rank show,badilishen list haraka iwezekanavyo
 
Ili tuondoe utata huu kwa vile leo wanakutana steji moja mliopo humo na wale wanaoangalia Live clouds Tv tuangalie nani atamfunika mwenzake...

1.atakayepata shangwe nyingi
2. atakayeperfom vizuri
3. atakayefunika kwa mavazi
4. Mengineyo


Haendi mtu kulala kabla Mtoto wa Bi Sandraaaaa kufanya mambo ......

 
T.i asije akapanda saa 11 kama diamond
 
mmmh!! hii show inaisha lini hivi!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…