Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,388
- 176,280
Hebu leteni Kiba hapo tukapumzike sie.
Ova
hiyo "ova" nimeanza kuiona muda na haumalizi au ni ile ya "juu ya"?
Hebu leteni Kiba hapo tukapumzike sie.
Ova
Watu wanataka mwanadaslam
Watu wanataka mwanadaslam
Diamond akitaka auwe kabisa aingie steji kavaa DERA atakua kamaliza kila kitu.[/QUO
😀😀😀😀😀 wakimshika kalio je?
Ha ha ha ha uwiii
Diamond akitaka auwe kabisa aingie steji kavaa DERA atakua kamaliza kila kitu.
Hebu leteni Kiba hapo tukapumzike sie.
Ova
Wanachonikera ni kuonesha boxer tu
hiyo "ova" nimeanza kuiona muda na haumalizi au ni ile ya "juu ya"?
I wish diamond aanze kabla ya kiba
binamu hujawahi kwenda maeneo yamaconcert km hayooo?!!!
bwana kuna raha yakeee!!!