Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,292
Huyu feti mzuri sijui kwanini ana jiweka kidume dume
Leo ndo ally kiba aijue thamani yake
Ally k je ana mashabikiiiii weeeeee
Sasa kiba jaman alie kabisa kuona watu wanamkubali lakini ye anajivutaaa
Ally k je ana mashabikiiiii weeeeee
Sasa kiba jaman alie kabisa kuona watu wanamkubali lakini ye anajivutaaa
Hata Mimi huwa najiuliza kwanini ana tamani kuwa mwanaume?Huyu feti mzuri sijui kwanini ana jiweka kidume dume
Team kiba wanamshabikia mpuz wao.kinafiki....na wengi.ni wale wasiopenda mafanikio ya diamond..take it or leav it
Leo ndo ally kiba aijue thamani yake
Ally mkali inawezekana alikua hajui value yake,!Umeona inabidi apate moyo watu wanamhitajii umeona eeee
Huyu feti mzuri sijui kwanini ana jiweka kidume dume
Bado hujakubaliiiiiii????
Team kiba wamejaa sana asee naweza pata aibu hapa
duu huku ni shida aisee watu wanamtaka Ally k,ni alikiba alikiba watu hawaelewi hawana shida na T.I wao ni wanamtaka Ally K mwenye mji wake.
Hapa ungepigwa mdundo wa mikasi wa ngwair ingekua mzukaa zaidi
Hata Mimi huwa najiuliza kwanini ana tamani kuwa mwanaume?
Nipo nachek TV kwakweli Team Kiba ni balaa. Hapo ndio nimekubali Kiba ni zaidi aisee.