Serengeti fiesta 2014 special thread

Serengeti fiesta 2014 special thread

Tamasha kubwa kama hili unaanza na ngoma ya miaka mitatu iliyopita na unakula shangwe hivi, sijapata kuona Bongo.
Kiba ndo ajue akikaa kimya anakera hili kundi lote.
Ova
 
aaaah aaaaah aaaaah aaaah huyu kiba ni nyoko aisee,Uwanja mzima unaimba,leo nakiri kabisa Ally k hakujua kama ana thamani kiasi hichi aisee,Mapenzi yana run this dunia, kanyimwa uwezo tu wa kucheza lakini ni shidaaaaa ila sijapenda demo yake imedhihirisha kwamba ana bifu na Dangote wa Sepetu.
 
ningefurahi zaid kiba angepiga live bila playback, tatizo amepanic mno, mayb next tym
 
Kiba kashangiliwa kinoma ila dangote akija uta amini utakachokiona watu watachanganyikiwa hapo
 
Diamond ana Mahaters wengi humu na kule Leaders ila mpaka dk hii sijaona size yake na nna mashaka akipanda atampoteza sana Kiba japo anapigiwa kelele na team zake za kukodi.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Udahifu wa kiba tumeshauona...Diamond backstage anaufanyia kazi
 
Alianza na hoffu mana ile shangwe ni noma ila sasa ka relax anaanza kufanya yake ila bado namshauri aachane na Madansa aendelee na ule utaratibu wake,watu ni kiba kiba kiba kiba kiba tu
 
Back
Top Bottom