masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 17,882
- 13,172
Kwanza lazima nitangulie kusema tuko karne ya 21.
Hatuko karne ya 19 au 20, ambapo si mbali sana jamii za kiafrika tulikuwa bado hunters, gatherers na herders.
Sasa hii siasa na sera ya kusema mtanzania yeyote ana haki ya kuishi popote, ni sawa, lakini ina mapungufu makubwa.
Sera hii haiwezi kuwa husu wanaoenda kuharibu miundombinu, na hata social impact kwa kule wanakoenda.
Imani kuwa wamasai na wasukuma wafugaji, uoto wowote kwenye uso wa dunia ni mali yao na mifugo yao, ina madhara makubwa sana.
Naandika hii mada ili hata wanasiasa walipatie jibu hili tatizo la mapigano na mauaji ya mara kwa mara kati ya wafugaji na wakulima, sehemu mbali mbali nchini.
Wakoloni walitenganisha makundi haya physically, na kuweka mipaka kuwa wafugaji wenye mifugo mingi hawawezi kuchunga popote tu ili kulinda ardhi na uoto wake pamoja na kuwatenganisha na wakulima.
Sera za sasa hivi ziangaliwe kwa makini ili tupate ufugaji bora katika mipaka au mikoa husika.
Ama sivyo kuliacha suala la ufugaji na ukulima kuwa ni la kusimamiwa na polisi, kitu ambacho siyo endelevu.