kilimo ufugaji ni njia nzuri kwa wafugaji

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,721
wafugaji wengi sio watu kulima na kusababisha vurugu za hapa na pale na wakulima.

wafugaji upelekea migogoro kama kuvamia misuti,mazao,kuharibu uoto na n.k

Wafugaji wanatakiwa kubadilika ili kuepesha mambo ya kuhama hama na kuwa mbali na huduma za kijamii.

Solution:
kilimo ufugaji ni njia unayo jikita kwenye kilimo cha kulishia mifugo yako.

Mfano unaweza kulima nyasi maalumu ambazo unaweza kuziweka sehemu maalumu hata miezi 6
IMG_0403.jpg


unaweza kulima maindi na vyakula vengine vikawa kwa ajili ya kuuza na kulishia wanyama pale soko likikosekana.
 
Back
Top Bottom