Ufugaji kwa Maendeleo

MUBENDE

JF-Expert Member
Nov 11, 2022
705
1,200
Nawa salimuni kwa jina la Mungu. Ndugu wafugaji na wakulima Mwaka 2024 huu Mungu ametujaalia kuwa salama tena na kutubarikia kwa kila hitaji letu na familia zetu, tunawapa pole wale wote waliokutwa na majanga ya tabia nchi na masumbuko mbali mbali Mungu awape faraja ktk kipindi hicho kigumu.

Niwaombeni ndugu huu mwaka uwe wa mafanikio na mwendelezo bora ktk mashamba yetu, tujaribu kutafuta mbegu zilizo bora ktk ufugaji na kilimo, tutafute mbinu zilizo bora ktk kuendeleza mazao na mifugo yetu ktk mashamba yetu.

Niwaombeeni nyote baraka na mafaniko mema ktk Mwaka huu wa 2024, Mungu awabariki na kuwalinda na kuwaepusha na magumu yote ktk utendani weunu.

Amina.
 
Amina
 
Back
Top Bottom