Akilihutubia taifa katika hotuba yake ya kila mwezi raisi Kikwete amewataka watanzania kuwapuuza wanaoendesha kampeni ya kususia sensa kwa kuwa hawalitakii mema taifa
It was worthy listening President JK Delivering one of his greatest speechs."I listened to what I exactly wanted to listen".
The President was very sensitive on the issue, very explainative,the speech was very balanced,never threw blame to either sides.The body languange was absolutely perfect.The timing was right.
Cant wait to be counted!!!
What do you think is the impact of his silly speech? do you think this popularity monger chap will change his fellow rigid fundamentalist muslims to show up for the cencus??I dont think so! he is not firm, he is always foolishly smiling and laughing even on sensitive issues which reflect national interests! We have the weakest president in our history! He can hardly distinguish a joke and a serious matter! Mwalimu rejected him but we picked him up now we are reeping what we had sown!!
...Mim nilichokiona kwenye hotuba ya Mhe. rais ni "contradiction". Mwanzoni anasema sera ya kutouliza masuala ya dini wakati wa sensa ni nzuri, lakini mwishoni anawapa matumaini wanaodai mabadiliko ya sera hiyo kwa kuwaambia kwamba mwaka 2016 kutakuwa na "follow-up survey" na hivyo mambo ambayo hayakuulizwa wakati huu wa sensa yanaweza yakaulizwa. Sasa hii ni kuuma na kupuliza, sidhani rais kwa nafasi yake anapaswa kufanya hivi
amewakemea kwa kutoa takwimu za uongo, je wamefanya haya kwa faida ya nani? kama ni kuhesabu hesabu waumini wako ni lini wakatolini wakawahesabu waislam?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.