Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo

Sensa: Hotuba ya Rais Kikwete, yatokanayo

Tatizo mnashindwa kumuelewa na mnabaki kueleza mlivyofahamu wakati mmefahamu sivyo.
 
Hivi leo ndounajua ?
Mini hanishangazi hata kidogo
Kama ana weza sema uwongo mchanakweupe unafikiri hili atashindwa?

Mwanaumemzima ana shindwakua na msimamo
Ptuuuuu anipitembali

Udhaifu wa Jakaya umejidhihirisha zaidi leo wakati anahutubia taifa juu ya sensa, alijichanganya aliposema kuwa serikali ilishafanya maandalizi ya sensa kwa kipindi kirefu hivyo kwa muda huu si rahisi kuingiza kipengele cha dini, wakati awali alishasema kuwa serikali haipangi maendeleo kwa kufuata dini wala kabila za watu na kwamba wakoloni ndio walikuwa wanahesabu watu kwa makabila yao na dini zao. Wanajamii JK anaamanisha nini juu ya hili suala mbona anazidi kudhihirisha udhaifu wake?
 
kwani safari yake ya ethiopia tarehe 1 september bado ipo? jamaa anasafiri kama vasco da gamma!
 
Mna mda wa kupoteza yaani ulitune kabisa kumsikiliza!
Yaani huwa sipendi ata kumuona acha kumsikiliza maana shida na madhara anayotuletea kwenye ustawi wa Tz ni vigumu kumsamehe kwa kweli
hii mbegu ya udini wamekuwa wakiitumia several times sasa inawatokea puani
 
Eleza basi ulivyo elewa maana hunapinga bila chembe ya sababu!

JIANDAE KUHESABIWA
SENSA KWA MAENDELEO
Tatizo mnashindwa kumuelewa na mnabaki kueleza mlivyofahamu wakati mmefahamu sivyo.
 
Kiongozi wa kwanza duniani kushindwa kusimamia zoezi la kuhesabu watu wake...
Huyu jamaa ni janga la kidunia, huu udhaifu wa JK unatokana na mfumo kristo kutawala nchi yetu.

Hapo umekosea. Ni udhaifu wake tu sio UKRISTO wala UISLAMU!
 
Shida ni suala la kushawishi watu kufanya uhalifu. Huo ni uhalifu wa kutosha kutoa adhabu. Serikali imewaona na kuwasikia hao watu hadharani sasa inawaogopea nini?
 
Anavuna alichopanda, yeye ndo muasisi wa siasa za kubaguana kidini sasa aliowabeba wamemgeuka. Kama hamjiandai kuishi kwenye Tanzania yenye chuki na ubaguzi wa kidini siku zijazo mtajuta. Alama za nyakati ziko wazi, hamjiulizi fedha za vipeperushi na posho za kuzunguka nchi nzima kuhamasisha kugomea sensa zinatoka wapi!!?
 
Raido iman na gazeti al-nuur ni vyombo vya habar vya habar vya kuzimu.

Watu mpo 32% ya nchi alafu mtusumbue?
Msicheze na kanisa mtaumia,
MOU imetokana na mungu
 
Msiopata nafasi fuatilieni hotuba yake vzr vyombo vitarusha hewani. Mh. Jk kasema mambo yanayozuia ni 2 mosi sera na pili utekelezaji. Mtoa mada ama hajamuelewa au ameamua kuelezea swala moja tu la utekelezaji.
 
Anavuna
alichopanda, yeye ndo muasisi wa siasa za kubaguana kidini sasa
aliowabeba wamemgeuka. Kama hamjiandai kuishi kwenye Tanzania yenye
chuki na ubaguzi wa kidini siku zijazo mtajuta. Alama za nyakati ziko
wazi, hamjiulizi fedha za vipeperushi na posho za kuzunguka nchi nzima
kuhamasisha kugomea sensa zinatoka wapi!!?

tujuze!
 
Mna mda wa kupoteza yaani ulitune kabisa kumsikiliza!
Yaani huwa sipendi ata kumuona acha kumsikiliza maana shida na madhara anayotuletea kwenye ustawi wa Tz ni vigumu kumsamehe kwa kweli
hii mbegu ya udini wamekuwa wakiitumia several times sasa inawatokea puani
Bahati nilikuwa natafuta chanel ya mpira Man vs Fulham nikakuta anamwaga huo utumbo, mpaka sasa najisikia hovyo kumsikilza, nimejitonesha kidonda cha kuwa na rais dhaifu kabisa kutokea popote.
 
Mkuu
Hebu jaribu kumrekebisha mtoa mada kwa kuweka facts alizo ongoe!
Unacho fanya ni kupiga kelele. Hoja upingwa kwa hoja!

Msiopata nafasi fuatilieni hotuba yake vzr vyombo vitarusha hewani. Mh. Jk kasema mambo yanayozuia ni 2 mosi sera na pili utekelezaji. Mtoa mada ama hajamuelewa au ameamua kuelezea swala moja tu la utekelezaji.
 
Huyo ****** kayataka aliwahidi cjui mahakama ya kadhi! Wakampigia kura kwa mbwebwe hatimaye sasa wanamgekuia maana mahakama ya kadhi ilikua ni mtaji wa kura!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom