Ahaha hahha niku hate wewe kwa lipi? nachosema tusilazimishane.. wewe na mchungaji wako jiombeeni wenyewe, Mungu atawasaidia lakini sio kuombea watu wengne huo ni uchawi na shiriki ndivyo nilivyofundishwa. Nikitaka kuomba naomba mwenyewe, kama ni swala la familia ama jamii yetu tunaomba sote pamoja na kwa ajili yetu sio kwa ajili ya mtu/watu wengine maana nao wanayo nafasi ya kufanya hivyo. Wewe mwenye elimu endelea kuombea watu wengine ukajisahau mwenyewe ndio maana unaandika vioja. Ati una smell satanics act? damn, wakristu wengine jamani...inawezekana wewe ndiyo Ayman Al Zawahiri ... second in command wa RIP Bin Laden
your brain is full of hate and you smell satanic acts
ALHAMDULILAHI. NIMEFAULU MTIHANI WA IMANI YANGU. NASHUHUDIA KUA HAPANA MOLA APASAE KUABUDIWA KWA HAKI ISPOKUA ALLAH(S.W) NA MTUME MUHAMAD (S.A.W) NI MJUMBE WAKE. LEO TAREHE 26 August,2012, mida ya 11:57 jioni, nimekataa kuandikishwa katika SENSA. NA AHIDI KUA NITABAKIA MUISLAMU MTIIFU KWA MOLA WANGU, NA VIONGOZI WENYE MAMALAKA MIONGONI MWETU SISI WAISLAMU. NIKOTAYARI KUITUMIKIA DINI YANGU YA KIISLAMU WAKATI WOWOTE NA MAHALA POPOTE NITAPO HITAJIKA. SIO GOPI MANENO WALA RISASI ZA MOTO. KILA NAFSI ITAONJA MAUTI. RABI TAKABALI.
jk kawaambia hawawezi kukaa huko mda wote njaa itawauma watatoka tu na kuhesibiwa.!
Serikali sikivu...sasa subiri spin doctors waingie kazini kufanya vitu vyao....tusitegemee kabisa kusikia kauli, "Zoezi la kuhesabu watu nchini halikufanikiwa."
Hivi huyu jamaa msomi Mnyika aligraduate chuo gani hapa duniani?
kwa hiyo nape kapingana na mwenyekiti wake,naanza kuamini kuwa huyu jamaa ni mropokaji
Hivi huyu jamaa msomi Mnyika aligraduate chuo gani hapa duniani?