Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

Zoezi linakwenda vizuri tofauti na matarajio ya kundi fulani dogo, nimemsikiliza mkuu wa mkoa wa dar es salaam (TBC) amethibitisha kwamba zoezi linakwenda vyema mkoani Dar, sipendi kugeneralize kwamba waumini wa dini fulani wamegomea wote, kwa sababu mpaka sasa kuna ushahidi wa viongozi wa dini fulani wakihimiza watu wahesabiwe kwenye sensa na nimeona waumini wa dini hiyo wakiwapa ushirikiano makarani wa sensa, isipokuwa kuna kundi dogo la wahuni ambalo ndio wanakwamisha zoezi hili, nimetembelea misikiti zaidi ya mitano na hakuna muumini hata mmoja ambaye amekesha huko.
 
Hivi sensa ni leo? mbona sijawaona kwangu na mimi natoka kwenda kula maraha na familia je watamkuta nani?
Hata hivyo mie siko katika mgomo wa kuhesabiwa, nashangaa kwa nini hawaji. Nina jirani yangu ni muislamu, kama akiwagomea kuhesabiwa mie najua wote walio katika nyumba ile, nitawambia ni wangapi......teh teh teh teh teh hapa Ponda kapondwa!
 
Ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni. Kuna mtu katembelewa na karani wa sensa na akawajuza wadau wake kwamba yule karani aidha ana uwezo mdogo sana wa kusoma na imechukua saa nne kukamilisha mahaojiano!!! Kwa spidi hii ya saa tatu kaya moja si katika siku moja (12 day light hours) karani huyu atapitia kaya tatu tu, na kwa mtaa aliopangiwa karani kama huyu atachukua miezi miwili kumaliza. Sijui ndiyo laana ya kuwaacha waalimu, au huyu karani alikuwa anategea lunch ya dezo maana labda hajalipwa posho ya kazi.
 
kwan unajua maana ya neno kafiri maana ya kafiri sio mkristo unaelewa we kichwa maji tafuta mana ya kafir ndo utajua vp shekh anaelewa zaid yako kichwa maji au niaje? Umekuwa ww

kafiri ni MKRISTO NA MPAGANI ; Kwa waislamu ; Mufti atuombe radhi wakristo na wapagani.............
 
Buguruni tumepigwa mkono na Trafik ; KARANI ANATUHESABU;:A S-baby:
 
Nimehesabiwa na haijachukua hata nusu saa, karani yupo makini !
 
Mpaka sasa bado waislam wengi wapo misikitini wanafanya ibada sijui makarani watawafauata?
Maana walilala msikitini na hawakufutwa usiku.
 
Kikwete kasema kwani watapika na chakula humo humo misikitini
 
Kikwete amesema leo wakati anahesabiwa kuwa atakayekaidi kuhesabiwa achukuliwe jatua za kisheria
 
Kuna muuza karanga mmoja hapa kitaa nilimwambia aniletee mzigo leo,jibu alilonipa nikachoka. Alinijibu kuwa kesho kuna sikukuu ya sensa kwahyo atakuwa off.
 
Mpaka sasa bado waislam wengi wapo misikitini wanafanya ibada sijui makarani watawafauata?[/b]
Maana walilala msikitini na hawakufutwa usiku.


Kufuata wa nini! Wao walishasema hawataki kuhesabiwa; kisa cha kuchwana na majambia kwa ajili ya kuwafuata kule!
 
Hii serikali yetu mbona inashindwa hata na vitu vidogo kama hivi yaani habari ya sensa inapigiwa debe miaka kumi iliyopita leo siku imefika unasema makarani wanalalamika kuhusu posho? hiyo pesa iliyotengwa kwenye bajeti inafanya nn kwa nn watu wasilipwe haki zao wachape kazi??na kwa nn tatizo hilo halikuwa solved hadi leo siku ya sensa??Hii serikali kweli anavosema Dr. Slaa imechoka ni ya kupumzisha hajakosea yupo sahihi kabisa!kila mtu anajua sensa ni kila baada ya miaka kumi yaani maandalizi ya miaka kumi ndio haya kweli? waislamu wanagomea? makarani wanadai posho? Iam tired of this type of stereo type government!!

Ndo maana Shekhe Ponda Issa Ponda alishauri zoezi lihairishwe ili serikali ijipange. Big up Mwanaharakati Ponda maana yeye ndo alikuwa wa kwanza kudai mabadiliko ya katiba kabla ya Chama Cha Kususa na Kuandamana (CHADEMA)

 
watu wataesabiwa X10, majumbani, kwenye train, mabasi, pikipiki, bicycle etc, ilimradi form zijae tu, mgomo uwe umefail
 
Mi hadi sasa karan bado hajafika nyumbani, sijui nimesahaurika?
 
Back
Top Bottom