Sensa 2012: Yanayojiri

Sensa 2012: Yanayojiri

Subiri 2015 kwenye mikutano ya kampeni ukomae na swali hili...usipopata jibu pigia kura chama kingine. Lakini nina wasiwasi itakapofika 2015 kama kawaida watu wataanza tena kutumiwa na kudanganyana kwenye nyumba zao za ibada na mwisho wa siku mtaipigia tena kura CCM kukikomoa chama kingine kama mlivyofanya 2010. Tukifika 2022 mtaanza tena kulalamika hivyo hivyo hatuoni maendeleo ya miaka 10 iliyopita lakini tukifika 2025 kwenye uchaguzi mtadanganyana zaidi na zaidi kwenye nyumba zenu za ibada na mpaipigia kura tena CCM kukikomoa chama kingine...Mzunguko unaendelea na jinsi siku zinavyokwenda ni hawahawa wanaolalamikia mfumo kristu ndiyo wanaotumika kuirudisha serikali ileile wanayoilalamikia madarakani...

Usiwe na akili kama za Nguchiro unataka kutuaminisha walioipigia kura CCM wote ni Waislam, waliomchagua Lowassa ni Waislam, waliomchagua, Dr Chami ni Waislam, waliomchaguwa Anna Kilango ni Waislam, waliomchagua Ole Sendeka, ni Waislam, waliomchagua Aggrey Mwali, ni Waislam, Waliomachagua Mwakyembe, ni Waislam, waliomchagua Amos Makala, ni Waislam, waliomchagua John Komba, ni Waislam, waliomchagua John Nchimbi, ni Waislam...orodha ipo ndefu.
 
Wadau mi niko border Tunduma hapa navuka, kurudi huko mpaka baada ya wiki mbili itakuwaje?
 
One in a million wont make a difference, is it? Usiwe na shaka ndugu.
 
Wadau mi niko border Tunduma hapa navuka, kurudi huko mpaka baada ya wiki mbili itakuwaje?

usijali sn home si wanataarifa zako,utawakilishwa kiana na familia yako,si unajua tena tz usanii mpaka kwenye nyayo.
 
Usiwe na akili kama za Nguchiro unataka kutuaminisha walioipigia kura CCM wote ni Waislam, waliomchagua Lowassa ni Waislam, waliomchagua, Dr Chami ni Waislam, waliomchaguwa Anna Kilango ni Waislam, waliomchagua Ole Sendeka, ni Waislam, waliomchagua Aggrey Mwali, ni Waislam, Waliomachagua Mwakyembe, ni Waislam, waliomchagua Amos Makala, ni Waislam, waliomchagua John Komba, ni Waislam, waliomchagua John Nchimbi, ni Waislam...orodha ipo ndefu.
Unakumbuka Igunga ni viongozi gani wa dini walisimama na kusema waislam waichague ccm na siyo chadema? Sasa kitendo hicho ndiyo kilitokea sana kwenye misikiti 2010.
Kuhusu kuchaguliwa na wakristu au waislam: Viongozi wote hao wamechaguliwa na wakristu/waislam/wapagani lakini tofauti ya wakristu/wapagani ambao walichagua kwa utashi wao, waislam walihimizwa kuchagua viongozi wa ccm.
Ndiyo maana hata Igunga tuliona live vituko vya wale mashehe.
 
Ni ujinga kwani hao walipotoka huko station hawajakata ticket??? Kwann wasichukua takwimu za kwenye Rail station?

bichwa maji elewa acha kulopoka weye kwan huko kwenye ticket wanaandika na hadh ya ndoa wanaandika na idad ya watoto vp wanauliza na hali ya kiuchum heb kaa kimya sio lazima kuchangia bichwa maji sawa dogo umekuwa ww
 
Kiongozi wetu mkuu wa waislam Mufti wa Tanzania amesema anayekataa kuhesabiwa ni Kaffir

Mufti ; muilislamu asiye hesabiwa ni" mkirsto (kafiri)"" wakristo ndo wamegoma kwani... fikri we mufti unabwabwaja
 
Mbona makarani hawana sare zilizokuwa zinasemwa kwenye vyombo vya habari, huku mpwapwa hawana sare tutawaaminije? vitambulisho pekee yake havitoshi,


Sare ??? Wameshachakachua....suburini msala bungeni huo!!!!! ....kuna Vituo 100'500 ....tuliona kwenye gazette ..walipanga kununua sare 150 ,000 ...Fulana na makoti......,Kama billion 4.....wajanja wameshafanya mpango wa kuuza hewa kwa kuwa wanajuwa Baada ya sensa kunakuwaga hatuna ushahidi...
Tunataka tu kuwaambia kuwa tunamulika na tochi......
sio Fulana na makoti tu kuna vifaaa Vingi tu vya sensa ...non core...watu wamepanga kuuza hewa.....wana JF popote malipo andaani ushahidi tuwape wenzetu bungeni...

Taarifa za ukweli bila changa!!!!!
 
Mufti ; muilislamu asiye hesabiwa ni" mkirsto (kafiri)"" wakristo ndo wamegoma kwani... fikri we mufti unabwabwaja

kwan unajua maana ya neno kafiri maana ya kafiri sio mkristo unaelewa we kichwa maji tafuta mana ya kafir ndo utajua vp shekh anaelewa zaid yako kichwa maji au niaje? Umekuwa ww
 
Nimekaa nasubiria makarani wa sensa siwaoni. Naenda misele sasa labda wanikute baa. Sijui kama watanihesabu huku nimechangamka? Kesho nasafiri. Naona kuna mgomo fulani wa makarani vile, sioni dalili kabisa! Tena huko baa kuna muumini ameniesms kuwa anahitaji kubatizwa, ngoja niwahi!
 
hii ndio njia pekee ya kawahesabu waliosusia sensa.....wakigoma kuwahesabu majumbani kwao basi tutawasimamisha hata kwenye daladala
 
Waandishi mlipopo mikoanii hakikini na mawakala Kama wamepewa vifaa vyote.. Ni Aibu Kama kazi zinazoratibiwa toka ofisi ya Rais ...linaweza kuwa na wizi mkubwa kiasi hiki.....
Mawakala ambao angalau wamepewa vifaa ni wachache wanaopita baadhi ya mitaani dar es salaam....Huu ni wizi mkubwa...kuanzia uvunjaji wa taratibu za manunuzi...Hadi kuuza...hewa...
 
Kikwete amewakejeli waislamu waliojifungia misikitini..

Mie nimewaandalia UGALI makarani..najua watakua na njaa hela waliopewa ishaisha.

Nipo border '' walio muoji mheshimiwa WAMEVAA UNIFORM TULIZOAMBIWA AU?????????????????????????????????/
 
kama polisi wamefanya hivyo utakuwa niukiukaji wa maadili ya kazi na huu utakuwa utumwa na wala si sensa
 
Back
Top Bottom