hakika c unajua zitiini mamalaka halali na cc hatuna budi kuitii serikali
una uhakika mamlaka hii ipo kihalali????mamlaka iliyo kihalali huwa haihusiki na ubadhilifu
hakika c unajua zitiini mamalaka halali na cc hatuna budi kuitii serikali
unabakwa wewe????????Kanisa gani?
Afu unasurf?
Na kupost JF?
Labda msikitini
Maybe!Au agent wa Ban?????
Mi sihasebiwi!
Karani aliyekuja kutuhesabu hakuwa na sare ila nimoeona amevaa kitaumbulisho iliyo andikwa lugha mbili Kichina na kiengereza inaelekea aliyepewa tender ya ku supply vitambulisho hivyo amevileta kutoka China!!Nimesikia kwenye vyombo vya habari kwamba kuna tatizo la sare za makarani,pengine aliyepewa tender hana uwezo wa kusupply bidhaa.
Hapa kahama bado kabisa nasikia sikia itachukua mda maana hata makarani wana malalamiko kuhusu posho zao
Sensa ya watu imesababisha train ya kati kusimamishwa na wahesabuji wa sensa katikati ya safari wakidai watu wahesabiwe wote ndani ya train ndiyo iendelee na safari je huo ndiyo ustaarabu wa sensa?
Mimi nimekesha nikidhani watakuja usiku...
Kumekucha,habari ndugu Watanzania, jumapili safi napata ka breakfast taratibu, na check BBC news nikisubiri makarani wa sensa. US astrounant Neil Armstrong dies, scores of bodies found in Syria, tropical storm dumps rain Cuba.......................... /Post Sensa update
Kanisa gani?
Afu unasurf?
Na kupost JF?
wamtafute na mufti wa bakwata wamuweke live na yeye....