Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,211
Ooh hayaNi kweli
Ooh hayaNi kweli
Subiri simu ijae charge kwanza
Bora ni chat kwanza maana sikawii kusahau nilipoiweka😎Subiri simu ijae charge kwanza
😀😀😀 Usije anza kulia bureeBora ni chat kwanza maana sikawii kusahau nilipoiweka😎
Safi kabisa wakunyumba 😎😎😎Babu figiri vs bamiaView attachment 2233309
Wakunyumbani,Safi kabisa wakunyumba
😀😀😀😀 Ugonile 🤪🤪🤪Wakunyumbani,
Wewe huyoUzungu ni mwingi sana, hapo misosi ni ya kutosha, nimekariri greco salad, mwingine artichoke, mwingine sijui nininini...n.k n.k bei $8, hapo wanakusavia, ngoja niendelee kuutafuta ugali dagaa kama nitaupata, nimeumisi sana..
View attachment 2233307