Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 28,900
- 147,519
Ee ugonile[emoji41][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ugonile [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ee ugonile[emoji41][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ugonile [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
Ee ugonile[emoji41][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Ugonile [emoji2957][emoji2957][emoji2957]
😀😀😀😀 togwa ipo nije kunywaEe ugonile[emoji41]
Zipo wanzuki tu[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] togwa ipo nije kunywa
😀😀😀 Mie nataka Togwa wanzuki nimekuachia weweZipo wanzuki tu[emoji23]
Samaki ndo analiwa hivyo sasa. Siyo kama we ulivyomshika shika jana yule wa kwako. Sijui ulikuwa unafikiri unakula makande? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Astakafiru.
Haka kajamaa hakafai [emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Unabubujika tu
Wala tope utawajua tuu..[emoji23] [emoji1533][emoji100][emoji100][emoji100]Samaki ndo analiwa hivyo sasa. Siyo kama we ulivyomshika shika jana yule wa kwako. Sijui ulikuwa unafikiri unakula makande? [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Karibu lipo[emoji23][emoji3][emoji3][emoji3] Mie nataka Togwa wanzuki nimekuachia wewe
Mdogo mdogoo si unajua tenaa , tumetulia hatutaki makuu sieUnabubujika tu
Lizzy
Naona maharage ya kijani tuUzungu ni mwingi sana, hapo misosi ni ya kutosha, nimekariri greco salad, mwingine artichoke, mwingine sijui nininini...n.k n.k bei $8, hapo wanakusavia, ngoja niendelee kuutafuta ugali dagaa kama nitaupata, nimeumisi sana..
View attachment 2233307