Selfika na JF: Snap it. Show it

Duuuh kumbe unadili na ma super computers networking
😊😊 Hiyo ni upande wa power katika data center.. Ingawa pia Networking, Cyber security, Electrical, Mechanical na Trade nimekwivaa 😂😂😂😂.. na utapeli juuuu.. ukizungumza na mie dk tano naweza nikakutapeliii na kukuibia 😊😊😊😊😊😊.. hii dunia inahitaji uwe multipurpose
 
Duuuh kumbe unadili na ma super computers networking
hii ngoma imekazaaa.. sijui. leo itaachiaaa 😂😂😂😂
Screenshot_20220118_152212_com.android.gallery3d.jpg
 
Hiyo ni upande wa power katika data center.. Ingawa pia Networking, Cyber security, Electrical, Mechanical na Trade nimekwivaa .. na utapeli juuuu.. ukizungumza na mie dk tano naweza nikakutapeliii na kukuibia .. hii dunia inahitaji uwe multipurpose
Kwa Mimi huwezi, nishakwepa mishale mingi mkuu. Kwa hiyo upo upande wa electric au data center
 
Back
Top Bottom