Nafikiri hapo jaribu YELL na JELLWakuu nisaidieni two missing word.. hili game bwana eti Jelly inagomaView attachment 1669996
Na hiyo picha ya pili nadhani limebaki LACKWakuu nisaidieni two missing word.. hili game bwana eti Jelly inagomaView attachment 1669996
Kama binadamu jinsia pinzani wangekuwa wanaliwa hivyo...
Karibu
Kama binadamu jinsia pinzani wangekuwa wanaliwa hivyo...
Sent from my Infinix X627 using JamiiForums mobile app
Mic u babuuh
hongera sana kalumbu.....wakati unamaliza nilikua seco year
..
.
ulicheza sana....sisi wa 2015 mpaka leo tunafanya kinyume na degree zetu
ulisoma course gani??
Matokeo?View attachment 1670057
Asantee Mnyama mnatufurahishaa
linah mambo
hahahahahahaha nkamuuuu......kwa ninavyokuona na mwandiko wakoMungu akusimamie utapata tu kazi uliyoisomea.
ha ha ha nilichosomea siri za kambiiii hizo sasa
daaaah uko simba tena4-1 Simba kapita kwa ushindi mnono