Haha unaropokwa au sio...dah me siongeagi, cha zaidi nitageuka Shakira kama sio Ray C afu usingizi + ...... If u know u know
Ndio maana nikaweka zile ..... 😅😅Uo usingizi utalala vizuri kama ukipanda mpaka kileleni kwanza
Angeenda komando ndio ningemwelewa zaidi. Hiyo miraba mi huwa inanikata moto kiasi.
😘😘 do the needful..Daaah 🥰
Uo usingizi utalala vizuri kama ukipanda mpaka kileleni kwanza
do the needful..
Safari njema mkuu...arrival times hapo maana yake una safari ndefu mbele
Ndio ukubwa huo kaka...Asante mkuu. Nina safari ndefu si kidogo, na bado nigeuke ndani ya wiki hii hii.
Mandhari kama harusi za Naiii, sema vile tu sio mchana
🙇🙇 silog off mpaka nioneSoon beautiful, very soon