Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Una macho ya kimahaba midomo ya kiss kope za mitego shingo ya kupiga love bite miguu ya kuendea royal tour [emoji9][emoji9][emoji11][emoji8][emoji8]
 
Azam Tv burudani kwa wote. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kombolela hoyeeeee!!! Mwadawa, tukae, govinda.
Bi kikala. Kobisi, chollo,

Napenda maisha ya vile, yaan ningekulia maisha ya vile ninge enjoy sana. [emoji6][emoji6][emoji6]
Napenda heka heka za kiswazi. Uwiiiiiii
Ile familia ni 🙌🙌🙌
 
Una macho ya kimahaba midomo ya kiss kope za mitego shingo ya kupiga love bite miguu ya kuendea royal tour [emoji9][emoji9][emoji11][emoji8][emoji8]
😂😂😂

Hivyo vingine havisomeki vizuri, ila hapo pa miguu ya royal tour umeuaaa
 
Sasa hivi kahamia team Sophy. Eti Sophy nenepa kama mke wa pili [emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yule ni mwehu, alinichamba siku hiyo chimbo sina hamu nae kabisa na ujuaji wangu wote kwake nimenyoosha mikono.

Ila ile movie anajua kunogesha.
 
😃😃 Nije nifundishe bible knowledge na Biology wacha nifanye kuomba kwa kuandika application letter au nije kuonana na Headmaster tu
Njoo kwa Hm tu tena Waislamu wao wana EDK - Elimu Ya Dini ya Kiislam ila bible knowledge hakuna karibu sana!
 
Back
Top Bottom