Hobby haswa
Mimi nilivyokuwa mdogo nilipenda sana kuwa miss hadi wageni wakija nyumbani natembea kimiss huyo .. nikawa naitwa miss jina la eneo
... Nilivyokuwa mkubwa ndoto zetu zimeisha
Vipi ameishia wapi yeye ? Urembo una gharama si mchezo .. inahitajika uwe vziuri financial na support kubwa watu wa karibu