Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 42,053
- 101,233
Uzi upo na tupo salama kama ulivyotuacha..!! 😹😹Nilijua huu uzi ulishakufaga😁😁kumbe bado upo bhana.
Haya mpo salama?
Haya tubless na pic ya kurudi kundini..!
Uzi upo na tupo salama kama ulivyotuacha..!! 😹😹Nilijua huu uzi ulishakufaga😁😁kumbe bado upo bhana.
Haya mpo salama?
Mi mwenyewe kibarua hapa 😹Naomba kazi😅
Nakumbuka kabla sijaondoka niliicha vibaya watu walikuwa wanataka kutoana roho kwenye miandiko ilikuwa inafurahisha sana haki.naona sasa kuna utulivu kidogo 😁😁.Uzi upo na tupo salama kama ulivyotuacha..!! 😹😹
Haya tubless na pic ya kurudi kundini..!
Chai haina sukariMi mwenyewe kibarua hapa 😹
Nataka kujua unatoa.wapi hii mistari yako💯💯😹🔥una mistari mikali kuliko ata wanaume wa humuNimekuachia huyo au humtaki? 😹
Jana nililala mapema jameni, Juzi tulikesha ujue. Ilikuwa lazima nifidie.binti kiziwi ulinambiaje
Wazima mkwe, Jana umepita sikuwepo, Jioni ufanye mpango basi upite unitagSalama mkwe. Vipi huko wazima ?
Anza weweHebu tuone
Umekubali?🤣🤣🤣🤣🤣ila una mambo
Tumeku missNilijua huu uzi ulishakufaga😁😁kumbe bado upo bhana.
Haya mpo salama?
haha! ni haki kweli hii yani mchuchu ghafla ushanigeuza babu yako.😹😹😹
Hivi bado sijafika pm?
Ngoja nitafute njia ya kufika..!!
ShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?View attachment 3691017
Sikumbuki tukio lilihusu nini, lakini ilikuwa ni katikati ya mwaka 47 🤭
Hello everyone 🥂
Eeeeeh Bwana Yesuuuuuu🙆♀️ShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?
Kwanini "La hasha " lakini 🤣Eeeeeh Bwana Yesuuuuuu🙆♀️
La Hasha sitarithi hili koti🙅♂️
Huyo namtegemea aniletee Koti lingine kama zawadi ya babu atakapoposwaShesRise_1 ni wewe ndiyo utarithishwa hili koti la babu?
Hata kama "Koti la babu lina chawa", si kuna washing machine siku hizi 🤪Eeeeeh Bwana Yesuuuuuu🙆♀️
La Hasha sitarithi hili koti🙅♂️
Lamomy akipita ameniwakilisha vyema😹
Alishapita nilimuona ni zamu yako sasa 😊Lamomy akipita ameniwakilisha vyema😹