😋😋 uko hapo Orchid?lol! spidernyoka amefika ? Nipo hapa kijiweni napata maziwa fresh 🥹🥹View attachment 2230813
Una mpendelea atakuja tuu.. unambadilishia na taulo siku ile niliona pink ile siku ingine jeupe ile siku ingine green wakati najua hana hivyo vitu 🥹🥹🥹😋😋 uko hapo Orchid?
Spider sijamuona kabisa leo sijui kabanwa wapi.
Hahahahaha ninazo 3, nitaje zote?Heaven Sent namba yako ya voda inaishia ngapi? Namba 2/ 1 ya mwisho 😂😂
Anatumia Zantel inaishia na 0 mwishoHeaven Sent namba yako ya voda inaishia ngapi? Namba 2/ 1 ya mwisho 😂😂
Usitaje mama mchungaji usitajeeeHahahahaha ninazo 3, nitaje zote?
😁😁😁Anatumia Zantel inaishia na 0 mwisho
Basi sawa, sizitajiUsitaje mama mchungaji usitajeee
Kuna yenye 00?Hahahahaha ninazo 3, nitaje zote?
😒Usitaje mama mchungaji usitajeee
Jaman sijui nilikua wapi.#voda#
*104*571605081762141#
😂😂😂😂 utulieAnatumia Zantel inaishia na 0 mwisho
Mjep amesema nisiseme [emoji16][emoji16][emoji16]Kuna yenye 00?
Basi unavipendaaHivo nanunuaga vi6/10
Ushuani vs ushuani
Chap nishafika home.. havijayeyuka, navitia kwa frizer
Life goes on…
Kuna watu ni wako fastaa mno[emoji23][emoji23]Kuna watu wameshapita nazo [emoji34][emoji34][emoji34][emoji34]
Mapema hivyo, tena bila selfie?Usiku mwema wana selfika!![emoji42]