Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,493
- 235,182
MadamJmn
Mlale salamaView attachment 2229928
Shape ya haja wii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
MadamJmn
Mlale salamaView attachment 2229928
Kweli hauzeeki[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]Mwenye kisura cha upooooleee miaka nenda rudia hazeeki [emoji6]!!
View attachment 2229930
Ngoja Junia aconfirmacha janja janja tupia selfii anne
Wee mpumbavu nn, eti "koti la urithi nilipewa" aibu huoni?[emoji16][emoji16] koti la urithi nilipewa
Wale jamaa wa intellegence wa uzi wa "dark days 17/03/20"Wee kijana huna mavazi? Au umeishiwa?
Mkaka handsome anavaa manguo ya wakubwa, mbaya zaidi ya kizee, hilo koti ulipewa urithi na babu yako?
Na ukapiga picha? Real? Yaan nikiona mkaka ana pigo za kiwaki nahemkwa na kukasirika, mnakwama wapi yaan?
Ukiweka picha tena hapa, weka ukiwa casual, hayo masuti yako waachie wazee huko msieeeeew.
Yaan kabisaaa uko huru unapuyanga mtaani hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukapiga na picha juu, jomoneeee mie sitaki khaaaaaah. Lol
Ameniboa huyu jamaa bas tyuuhCoca utaniua[emoji23][emoji23][emoji1751][emoji1751]
Tukomesheeeee mamaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]Mwenye kisura cha upooooleee miaka nenda rudia hazeeki [emoji6]!!
View attachment 2229930
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] amenikera sanaaa.[emoji23][emoji23][emoji23]coca[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha bas nawee.Wale jamaa wa intellegence wa uzi wa "dark days 17/03/20"
wakiingia kwenye anga zako hizi za kujidai sijui watakutana na kitu gani kizito.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
🤣😂😂😂😂😂😂!! Upambe muachie anne shos 😉Tukomesheeeee mamaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji23]
Tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sanaaa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo.Abiud akinikuta na hili vazi[emoji125][emoji125]atanifukuza kuimba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] basi nimeachaaaa.[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]!! Upambe muachie anne shos [emoji6]
[emoji3]wizooMadam
Shape ya haja wii[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Ngoja Junia aconfirm
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] vichambo viko pale pale.Najitahid tahidi siku harusi usininange[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikimbia na ndugu mwenyekiti je karudi??Hustler one mida yako bado?? Siondoki hadi nikuone.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee shangazi bhanaaah.Aisee nimekumbuka nishafika mbali[emoji23][emoji23][emoji23] nikaona isiwe tabu kwanza sidaiwi [emoji23][emoji23]
Nitakuita best usiwazeeThanks vocha Lin mm sijawahi pata ujue