Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wee kijana huna mavazi? Au umeishiwa?
Mkaka handsome anavaa manguo ya wakubwa, mbaya zaidi ya kizee, hilo koti ulipewa urithi na babu yako?

Na ukapiga picha? Real? Yaan nikiona mkaka ana pigo za kiwaki nahemkwa na kukasirika, mnakwama wapi yaan?

Ukiweka picha tena hapa, weka ukiwa casual, hayo masuti yako waachie wazee huko msieeeeew.

Yaan kabisaaa uko huru unapuyanga mtaani hivyo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ukapiga na picha juu, jomoneeee mie sitaki khaaaaaah. Lol
Haya makoti yanakukata hamu ya mizagamuo?

Mjukuu bana dah! Si kwa povu hili wallahi [emoji16][emoji16][emoji16]
 
Jomoneeeeeeeh guizzzzz mlale unono.

Wacha nipumzishe fuvu langu Now, kesho nayo ni siku.

[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4] byeeeeezzzzzz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanza nyege zinayeyuka yeyuuuuu.

Yaan kaniboa huyu jamaaa, khaaaaaah.
Unajua alivaa hilo koti katika muktadha gani? Labda alikuwa anakwenda/anatoka ofisini au kwenye mishe za pesa.

Punguza bana kuwakandia majamaa. Mpaka umetufukuzia Mr. Big na pigo zake kama Tupak. Hufai [emoji16][emoji16]
 
C6A19B0E-E6C7-401E-80D5-A6EDD8F5D828.jpeg

Kwa kweli kitambo sijaweka yangu❤️
Hello wapendwa wa kusefikaaa😌
 
Back
Top Bottom