cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,289
- 187,941
Aseeeeeh mie sijaona jomoneeeeh khaaaah.Mama gushepuuuu[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Aseeeeeh mie sijaona jomoneeeeh khaaaah.Mama gushepuuuu[emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Nimeamini walivyosema wahenga na waenguzi,, mwenye kisu kikali atakula machungwa mengi [emoji41][emoji41]kulaaa haswaaaaaa wakati ni wako mkuuu itumie ipasavyooo[emoji12] !!
Nilitaka nikuwekee mmoja tatizo vanga langu hili usije ukanipa za uso mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] suruali haifanan na sura plus umbo.
Khaaaah.
Hongeraa [emoji41][emoji41]Wana selfikaaaaaaaaaa nimekula tunda kimasihara
[emoji41][emoji41]
Kama kuna maparchichi mtanichukulia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wapi huko na sie tuje matikiti yapo maana ndo ugonjwa wangu [emoji21]
Shouzzzzzz hebu nionesheee puliiiiiiiizzzzzzAsante pilot
Nimeanza kuona mabadiliko toka nibadili hii avatar, nitawapeni mrejesho.Kama sijakosea hata hii alishawahi itumia.
Anapenda za aina hii nikajua ni yeye.
Poa tunakusubiri iyo tomorrowLabda kesho mama sina hata jipya na nlivyo mvivu wa picha sasa.
Ahsante sana,, siri ya mafanikio, ukipita kwenye nyumba ina mchungwa,, nenda kaombe maji utanishukuru baadae[emoji41]Hongeraa [emoji41][emoji41]
Bado wewe!! Upepo wa kisulisuli haujawshi kumuacha Mtu salama 😂🤣🤣🤣🤣🤣😂🤣!!!🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣aki nakuwa kichaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Lol !!! hata mimi nayaona[emoji23][emoji23][emoji23]Nimeanza kuona mabadiliko toka nibadili hii avatar, nitawapeni mrejesho.
Ipi umeipendaNa mimi sijui niweke avatar yake
Tuanze kutrend[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuwachanganya watu wa jf ni suala dogo sana kumbe[emoji1787]
Kaa hapa shangazi, [emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Shangazi sijakuona jmn au nimepitwa tayari
Kumbe [emoji41][emoji41]Ahsante sana,, siri ya mafanikio, ukipita kwenye nyumba ina mchungwa,, nenda kaombe maji utanishukuru baadae[emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wapi huko na sie tuje matikiti yapo maana ndo ugonjwa wangu [emoji21]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui ni njaa, maana nimekua mpolee ghafla lol.Coca kma coca [emoji23][emoji23]
Mie…Hee
Siyo wewe huyo?
[emoji7][emoji8] mzuri wewe.Kwa hisani ya Avatar[emoji113][emoji108]View attachment 2229821