cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 112,102
- 181,131
Hebuuuu niwekeee bhanaa, huenda ukawa babeee angu.Nilitaka nikuwekee mmoja tatizo vanga langu hili usije ukanipa za uso mkuu.




Hebuuuu niwekeee bhanaa, huenda ukawa babeee angu.Nilitaka nikuwekee mmoja tatizo vanga langu hili usije ukanipa za uso mkuu.




Nimeanza kuona mabadiliko toka nibadili hii avatar, nitawapeni mrejesho.



Bado wewe!! Upepo wa kisulisuli haujawshi kumuacha Mtu salama!!!






khaaaaahtatizo mna damu za kunguni mkuu ombeni mpewe mwongozo muenjoy mema ya jf🤭🤭🤭🤭 😂😂😂!!Nimeamini walivyosema wahenga na waenguzi,, mwenye kisu kikali atakula machungwa mengi![]()
Ule mti nadhan ni wa ukereweKumbe![]()
Amna shida haiwezekani Nile wali mkavu yeye anakula tunda kimasihara huko na nduguzake tupoKama kuna maparchichi mtanichukulia![]()
😒😒Aisee nilijuaga wewe ni me kumbe ke
Shouzzzzzzzz ake, unaua mbayaa mnooo.






Ipi umeipenda
tuendelee na Emergency landingLive!!!! Mama abiud,




Humu siwezi,, nshaapa siwezi sirudii tena,, nlipigwa tukio moja hlotatizo mna damu za kunguni mkuu ombeni mpewe mwongozo muenjoy mema ya jf![]()
!!


Mida ya liveeeeKaa hapa shangazi,![]()
uko mzuri mamy! Natural kabisa!
😂😂 ni comments zina ndevu au niaje
tatizo mna damu za kunguni mkuu ombeni mpewe mwongozo muenjoy mema ya jf![]()
!!







afu si nimekukataza wee?Kasome hukoAseeeeeh mie sijaona jomoneeeeh khaaaah.