Tinsley
JF-Expert Member
- Nov 16, 2020
- 14,590
- 38,225
Abarikiwe aliyegundua kuchemsha maharage kupitia thermos ya chai .Angalau sasa napata fleva tofauti.
Tekno ina raha yake[emoji23]
Nilikuwa nimekomaa na misamsung yote
Hatuhangaiki kuchochea moto kwenye mkaa