Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

coca anasema Kwamba kuna watu wana vismt vyao! wacha Mambo yake tumuachie mwenyewe!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama mrashia tambaa, dunia yako hii, sio NATO wala ISIS, wote kimyaaaaa.
 
Hajaona lile shepu lako????
Hadi mtu unajiuliza mtu anaachaje hapa???

Shepu jingine lile la nyongeza..halfu coca anasemaje huyu??

Mchumba Jack Palladino mlime sap huyu mtoto Coca.
Nyie JF ina mambo hii acha tyuuh, huyo Lect anilime Supp haogopi? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji28][emoji28][emoji28] eeh unapata mama mzuri kama mahondaw alafu unaleta ukicheche mavi.. unafikiri huyo mtu yupo sawa kweli.. ningekuwa karibu karibu ninge mvuruga au basi acha nitafite kitu kichwa ipo hapa nisiche
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mie sipooooooh kabisaaaa. Sitaki case.
 
Mamaaaaaaah!!!!! Oooooh mai Gadi nini hiii?
Mbna majaribu asubuhi yoteeee hiii khaaaah. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]

Tunaomba utupumzishe kwan lol. Uwiioiiiiih
Leo natafuta ugomvi na mtu yoyote ndio roho yangu itapoa 😅😅😅😅😅 akitokea mtu nitafurahi zaidi
 
Back
Top Bottom