Selfika na JF: Snap it. Show it

basi tu .. first year wanzaanza lini , itabidi unisaidie wa kuwafundiaha calculus [emoji28][emoji28][emoji28] nipate chochote kitu
Wale wawili kwisha habari yao? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dunia uwanja wa Fujo. Lol.
 
Hatari sana ku date na malaya malaya unaweza beba mikosi ikaharibu hata hatma yote ya maisha yako, au akaleta magonjwa ya hovyp hovyo... ndani .. fukuzia mbali delete kabisaa
 
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6][emoji4][emoji4][emoji4]
Haswaaaah wazunguuu,. Uswahili na nehiiiii.
na kismat cha kupendwa na kukubalika, tamba shouzzzz ake na kivuruge.
🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸🤸 "kismat cha kupendwa!! "


🤣🤣😂😂😂😂🤣😂🤣😂🤣🤣😂😂🤣🤣😂🤣🤣🤣
kwamba wengine hatuna kismat au 😂🤣🤣😂😂😂😂😂😂😂!!
sijakuelewa🤔🤔🤔🤔🤣🤣
coca niwache mie maisha matamu bana!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] wale nime maliza mtaala wao bwana weeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwani Gia ya kuzimia Dunia iko wapi, nibofye nishuke.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]akiyanani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] shouzzzzz usiwashe mood angu ya umbea na udaku, leo mbna nipo na mood ya uzunguu.

Ngoja kwan ntalebeneshaa kuleeeeee. Woiiiiiiiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…