Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Bwana Yesu Asifiwe kitoto kizuri [emoji16][emoji16]

Ndoa ni baraka , sema vichaa siku hizi hawaingii kwenye ndoa wanapenda kuzagamuana tuu
Aminaaaa.

Ndoa sio lazima kwamba kila mtu awe nayo, ndoa ni maamuzi ya muhusika, japo ni muhimu ila sio lazima ni hiyari..
Kuzagamuana hoyeeeeeh. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3] ko cm mpya yakuwehusha hivyoooo?
Unalo hili shostieee, woiiiiiih
Khaaaah!shossz[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Simu yenyewe tekno jomoneh!msieeeew[emoji2]..niliambiwa humu natumia cheap phone..wenzangu mna macho manne
 
Back
Top Bottom