Nyie ndio huwa mnapotoshana kweli kweli.Ah upo sahihi
Sema mdomo huu unatupinza big time na ukipata ushauri toka kwa rafiki hapo ndo kabisa
Hahahha noma sanaNyie ndio huwa mnapotoshana kweli kweli.
Utasikia achana naye huyo ..shogangu we mrembo utapata bwana mwingine...wapi?
Mabwana ni wengi kweli lkn mume ni mmoja
SahihiHahahha noma sana
Mashoga sijui huwa wanaona wivu maana sio kwa upambe huo.
Huwa naonaga issue za mahusiano ni bora zikae private kwanza hadi mfikie kwenye stage ya ndoa
Hapa unaepuka mengi .
Naona unasinziaHahahha noma sana
Mashoga sijui huwa wanaona wivu maana sio kwa upambe huo.
Huwa naonaga issue za mahusiano ni bora zikae private kwanza hadi mfikie kwenye stage ya ndoa
Hapa unaepuka mengi .
asante mkuu......akiniacha nitakushtua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mkuu una upendo sana. hongera kwa ku mchongea shemu flemu ya picha.
Ah kweliNaona unasinzia
PazuriMorogoro, choma water falls eti
Asanteeeeehhhhhhhh ✌️✌️✌️✌️✌️Nyie ndio huwa mnapotoshana kweli kweli.
Utasikia achana naye huyo ..shogangu we mrembo utapata bwana mwingine...wapi?
Mabwana ni wengi kweli lkn mume ni mmoja
Nameza madini mkuuu!! Tupeee tupeee tena na tenaaaa!!✌️✌️✌️Ndivyo ilivyo.
Hivi utamwachaje mwanamke humble?
Mcheshi?
Mwelewa?
Warembo wengi wakiona wanspendwa ..huanza kubwetrka..hawana lugha laini ya kimahaba tena.
Jeuri inasnza.
Ujue mwanamme pamoja na maguvu yake ni mwoga mno kuwa na mahusiano na mke jeuri..
Unajua kwanini William kakimbia?😅😅😅
Si unajua hainaga ushemeji si tunakulaga, leta connection ya namba mapemaasante mkuu......akiniacha nitakushtua[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
hahahahahaSi unajua hainaga ushemeji si tunakulaga, leta connection ya namba mapema
Dah pisi model uwa zinanichanganya kinoma [emoji7]
Vizuri kula na wenzio.hahahahaha
Unicheki nikuelekeze dawa pole rafiki.
Ooh pole sana