Mawardat
JF-Expert Member
- Apr 27, 2021
- 25,900
- 136,567
Mic u,pia kipenziMic u kipenziii,
Lope mingi mingi.
Ulijificha wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mic u,pia kipenziMic u kipenziii,
Lope mingi mingi.
Yeah si kazi rahisi
😍😍😍 Mama wa wote in the house 🔥🔥🔥... Marahabaaa ShangaziShukrani sana mjomba tuchitchat tufurahi tu maisha ndio hayahaya!!✌️😉
Hapana baba pasta napitaje kimya kimya na sidaiwi vyama nishalipa na Sitoki na mume wa mtu 🤣🤣🤣😂🤣!!Mama la Mamaa mahondaw umelala au unatucheki kama guest user 😀😀😀 fanya namna maana wewe ni namba ingine uzuri na urembo wako haulezeki hata wanaotumwa kukuhujumu ili nafsi yako iiname wameisha fail tayari wewe ni habari ingine ingine matawi ya juu hadi mbinguni yanafika .. ebu fanya namna wajomba tufurahi alafu tulale 😍🔥🔥🔥🔥 mama usiw na mkuu mpolena mtulivu mwenye huna makuu wala sio muongeaji eeh yani yule mwanamke wa mithali ndio wewe
Jana na leo bana pasta Mungu ni mwema! Natumai na geto boys mko vyedi kabisa mjomba!😍😍😍 Mama wa wote in the house 🔥🔥🔥... Marahabaaa Shangazi
Ntqkufumua makofi ujue?





Nimeselfika mbna hapa sio mda, ila usijar.I mic u too shangaziyangu![]()
Tunakusubiri mida mibovu uselfike


Mnoooooh,









Kwa UCL mkikaza mnatoboa.Unani mic vipi kavu kavu nawee, futa hiyoSijambo dogo
Nimekumiss




😅😅😅 Una akili mingi najua huwezi toka na mme wa mtu huo ni ushamba ambao huwezi fanya .... 😁😁😁😁😁 haijabaki hata kipande cha keki tuje na spidernyoka kulaa maana tumeamka na njaa bado tunatafuta direction... Bossi mwenyewe jana alifaidi mwakani itabidi iwe kali zaidi ya hiiHapana baba pasta napitaje kimya kimya na sidaiwi vyama nishalipa na Sitoki na mume wa mtu 🤣🤣🤣😂🤣!!
jana usiku nilikua nasherehekea birthday ya bossi wangu mjomba!
Nipo shos majukumu kidogo!
Karibu sana shos tulikumiss mnoo selfika!!![]()




mie nipo hapa, huu uwanja wangu wa nyumbani, na mie ndo mlinda mlango hapa. 




Shukrani sana mjomba tuchitchat tufurahi tu maisha ndio hayahaya!!![]()




Shos tulipwayaje selfika jamani usiwe unapotea kihivo jomonee!!🤣😉😘
Nipo mie mbna, hata hakna wa kunificha,




😅😅😅 Geto boys tupo hapa tunafuta direction ya kupata hata msosi wa asubuhi ... ili mchana uwe mwemaaa ... kama boss alibakisha keki hata kidogo itatusukuma sukumaJana na leo bana pasta Mungu ni mwema! Natumai na geto boys mko vyedi kabisa mjomba!