Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Ni sawa lkn yote huja baada ya kupendana napesa zinatafutwa na plans zinawekwa hapo tayari tushatenganisha maanayake mapenz yalitangulia hapo so sijui labda mm naelewa vibaya
Exactly, niongezee

sisi wanaume tunapenda kuheshimiwa kuliko kupendwa, pesa ni kweli inatafutwa lakini pia man value is measured in what he can do and provide, kwa hio kama pesa sina Sophy kuna muda hutonipa heshima ninayostahili kwa sababu uanaume ni utafutaji na kuhudumia familia na majukumu mengine sio kumkojoza tu mwanamke.

But upo sahihi, lakini dah, hii mada ni ngumu kweli 🙂
 
Hii mada ni kasheshe ndo mana hata uliponiquote pale juu nimeshindwa nikujibu nini.

Issue ya pesa upo sahihi ni nadra sana kukuta mwanaume hana pesa na akapewa heshima yake inavyostahili ila maana yangu mwanzon ilikua mfano kama mimi naweza kukupenda wewe bila hata kuangalia una kitu gani pesa ikaja badae. Kama mtu anaangalia kwanza una kitu gani ndio akupende sasa huo sio upendo ni maonesho tu.
 
Upo sahihi.
 
Us magpies
FB_IMG_1652736011542.jpg

Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
 
Wanawake wenye tako wanakuwa na iq kubwa
Siyo kweli. IQ haitegemei tako la mtu bana tusilishane matango pori !!!

Sayansi inasema kuwa wanawake wenye matako makubwa wanazaa watoto wenye akili sababu ya aina ya mafuta waliyonayo ambayo kwa namna moja au nyingine yanasaidia katika ufanyikaji wa Ubongo wa mtoto kwa ukamilifu zaidi...

Na pia hawasumbuliwi sana na magonjwa ya moyo, presha na mengineyo kwa sababu mafuta yao mengi yapo matakoni na mapajani - mbali na viungo karibia vyote muhimu (pear-shaped)

Hii ya kuwa na IQ kubwa ni kamba!
 
Exactly, niongezee

sisi wanaume tunapenda kuheshimiwa kuliko kupendwa, pesa ni kweli inatafutwa lakini pia man value is measured in what he can do and provide, kwa hio kama pesa sina Sophy kuna muda hutonipa heshima ninayostahili kwa sababu uanaume ni utafutaji na kuhudumia familia na majukumu mengine sio kumkojoza tu mwanamke.

But upo sahihi, lakini dah, hii mada ni ngumu kweli 🙂

...man value is measured in what he can do and provide......
 
Back
Top Bottom