Nikopoa sanaUmeamkaje rafiki?
Nilikuwepo nilipita kimya kimya majukumu yalinibana lkn pia niliona mnajadiliana mambo yenu wakubwa
Mr Handsome 😍🔥🔥🔥
Haikuwa akili yakeRelax
Mkwe umtusimanga hujatetea nimeqoute kimyakimya nakuheshimu mkwewangu😁Nini tena mpwa kunikwoti kimya kimya?
Natumaini kumekucha salama. Niko Usukumani Misungwi nimeingia leo. Ningejua upo Usukuma ya wapi nami ningependa kukuonyesha ukarimu wa Wasukuma nikuletee ka mbuzi uchinje mwenyewe [emoji16][emoji16][emoji16][emoji870][emoji870][emoji870]
Siku yako na ikawe njemaNikopoa sana
Eti eeeh?Ndivyo mnatakiwa
Kuwa hivyo
Wanaume sisi ni cha wote
Kazi njemaSiku yako na ikawe njema
Amina🙏🙏Namshukuru Mungu nipo salama,,namshukuru kwa kuniamsha salama siku ya leo[emoji1545]
Mungu awape shifaa wagonjwa wetu waliopo mahospitalin na majumbani mwetu[emoji1545]
Sent using Jamii Forums mobile app
hujambooEti eeeh?
Safi sana cha wote
AminaThanks
Kazi njema
Khaaaah![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbavu zangu mie, uwiiiiiih
Leo umepatwa na nn? Hebu nieleze kwan lol
Sijambo shkamoo mtu Cha kwakehujamboo