Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Madam Saint Anne nimeweka pic leo dadeq.

45D41056-0075-4843-9016-5D7AA9BE514D.jpeg
 
Exactly, niongezee

sisi wanaume tunapenda kuheshimiwa kuliko kupendwa, pesa ni kweli inatafutwa lakini pia man value is measured in what he can do and provide, kwa hio kama pesa sina Sophy kuna muda hutonipa heshima ninayostahili kwa sababu uanaume ni utafutaji na kuhudumia familia na majukumu mengine sio kumkojoza tu mwanamke.

But upo sahihi, lakini dah, hii mada ni ngumu kweli 🙂
Ni kweli mwanaume majukumu lkn katika kuyatimiza kilammoja ana nmna yake kulingana na Mungu alichomjaalia lkn pia kuzidi kutafuta kunahitajika umaskini haumpendezi mtu
 
Back
Top Bottom